The Hijri Calendar Converter Widget
requires Adobe Flash
Player 7 or higher.

To view it, click here
to get the latest
Adobe Flash Player.
Yaliyomo
Nyumbani
Quraan
Ukumbi
Makala
Fiqh
Sira
Maadili
Itikadi
Habari
Videos
Mapishi
Mawaidha
Ratiba Ya Swalah
Vitabu
Quiz
Matangazo
Fomu
Hadiyth 40
Hadiyth Za Wiki
HABARI
Nyumbani
Fitna na Namna ya Kukabiliana Nayo
Sunday, 28 February 2010

Na Ummu Nassra

 

Maana ya neno fitna katika Qur-aan

Fitna ni neno la kiarabu  فتنةَ) lenye maana pana.  Maana iliyo maarufu katika jamii yetu ni kama; mitihani, machafuko, majaribio na kutoelewana baina ya watu.

Neno fitna limetumika sana katika Qur-aan lenye makusudio tofauti. Miongoni wa hayo ni:

1.   Mtihani na majaribio: [Al-Ankabuut 29:2 - 3] Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)

 

 ((أَحَسِبَ ٱلنَّاسُ أَن يُتۡرَكُوٓاْ أَن يَقُولُوٓاْ ءَامَنَّا وَهُمۡ لَا يُفۡتَنُونَ))

Je, wanadhani watu wataachwa kwa kuwa wanasema: Tumeamini. Nao wasijaribiwe?

Read more...
 
NAFASI ZA MASOMO KWA AKINAMAMA - SAUDIA
Friday, 19 February 2010
 

Princess Noura bint Abdur Rahman University

 

Eligibility requirements

 

1. High school diploma

 

2. Recommendation of good character from your school.

 

3. Recommendation from your masjid or Islamic center you attend.

 

4. A CV with all your details and an explanation that states why you are deserving of this scholarship.

 

5. Marriage certificate (if married

Read more...
 
NAFASI ZA MASOMO QATAR
Friday, 19 February 2010

QATAR FACULTY OF ISLAMIC STUDIES

 

QFIS is to become a locus of thought and dialogue that leads research and debate in all that relates to Islam and Muslims, be that contemporary concerns or issues of heritage; and that produces scholars who are stronglygrounded in Islamic faith, practice, and civilization, and who are open for engaging with all that their civilization produced, and with the wisdom and thought of other civilizations.



Read more...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 1 - 4 of 80
Administrator
Wahusika
Aya za Quran
Displaying:
Srh. Al-Anbiya (21)
Ayat 14
 Listen to this ayat (verse) 
21.14 . Wakasema: "Ole wetu! Hakika sisi tulikuwa madhalimu."

[ Srh. Al-Anbiya : 14 ]
Who's Online

 

© 2010 Madrasatul Iman al – Islamiyyah

Web Master