The Hijri Calendar Converter Widget
requires Adobe Flash
Player 7 or higher.

To view it, click here
to get the latest
Adobe Flash Player.
Yaliyomo
Nyumbani
Quraan
Ukumbi
Makala
Fiqh
Sira
Maadili
Itikadi
Habari
Videos
Mapishi
Mawaidha
Ratiba Ya Swalah
Vitabu
Quiz
Matangazo
Fomu
Hadiyth 40
Hadiyth Za Wiki
This Month Newsletter
HABARI
Nyumbani
Jadwali Yako ya Ramadhaan
Monday, 16 August 2010
JADWALI YAKO YA RAMADHAAN
Jumuiya yako ya Al Iman imekuandalia Jadwali ambayo itakusaidia sana katika mwezi mtukufu InshaAllah kama utaifuata.
Last Updated ( Monday, 16 August 2010 )
Read more...
 
Tunayopaswa Kujichunga Nayo Katika Mwezi wa Ramadhaan
Monday, 24 August 2009

Abu ‘Ammaar

Allah Subhaanahu Wata’ala alipofaridhisha  funga ya Ramadhaan na kuifanya kuwa wajibu kwetu alikuwa akilenga katika kutujenga kuwa na Taqwaa - Uchamungu. Hili ndilo lengo alilolitaja katika Suuratul Baqarah 183. Allah Subhaanahu Wata’ala hajakusudia kutuletea madhara wala kutupa mzigo katika suala zima la Swaumu kwani ni ibaada inayoweza kufanywa na kila Muislamu bila ya kujali hali yake isipokuwa kwa wagonjwa na wengineo wenye udhuru ambao kisheria huwazuia kufunga.

Last Updated ( Monday, 16 August 2010 )
Read more...
 
Mimi Ni Ramadhaan
Sunday, 30 September 2007

Mimi Ni Ramadhaan

Imekusanywa na: Abu Faatwimah

Asalaamu 'alaykum Warahmatu Llaahi Wabarakaatuh,

Ametukuka Muumba wa viumbe vyote Anayestahiki kuabudiwa pekee kwa haki, Muumba Aliyehalalisha usiku katika masiku yangu kuwa ndio wakati wa kuruhusiwa kuingiliana na wake zenu na kula na kunywa mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajiri katika weusi wa usiku,

Last Updated ( Wednesday, 11 August 2010 )
Read more...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 1 - 4 of 83
Administrator
Wahusika
Aya za Quran
Displaying:
Srh. Al-Hijr (15)
Ayat 67
 Listen to this ayat (verse) 
15.67 . Na wakaja watu wa mji ule hali ya kuwa wamefurahi .

[ Srh. Al-Hijr : 67 ]
Who's Online
We have 1 member online

 

© 2010 Madrasatul Iman al – Islamiyyah

Web Master