The Hijri Calendar Converter Widget
requires Adobe Flash
Player 7 or higher.

To view it, click here
to get the latest
Adobe Flash Player.
Yaliyomo
Nyumbani
Quraan
Ukumbi
Makala
Fiqh
Sira
Maadili
Itikadi
Habari
Videos
Mapishi
Mawaidha
Ratiba Ya Swalah
Vitabu
Quiz
Matangazo
Fomu
Hadiyth 40
Hadiyth Za Wiki
This Month Newsletter
HABARI
Nyumbani arrow Habari arrow Latest arrow Madrasah Kuanza Baada ya Ramadhaan
Madrasah Kuanza Baada ya Ramadhaan PDF Print E-mail
Sunday, 06 September 2009

Assalaam Alaykum

Baada ya kutokuwa na Madrasah kwa muda mrefu kutokana na kutokupata kibali cha kufanyia shughuli zetu kwenye Community centre na pia kwa msikiti kuendelea kujengwa, kwa uwezo wake Subhaanahu wa Ta’ala tunapenda kuwaarifu wazazi wote kwamba Madrasah itafunguliwa tena Baada ya Ramadhaan.

Madrasah itafunguliwa tena pale pale Msikitini Abington Avenue kwa siku za Jumamosi na Jumapili tu kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 8.00 mchana. Siku na tarehe mtajuulishwa.

Kwa kuanzia hatutochukuwa wanafunzi wowote wapya

Washukran

Madrasah

Last Updated ( Friday, 16 October 2009 )
 
< Prev   Next >
Administrator
Wahusika

 

© 2010 Madrasatul Iman al – Islamiyyah

Web Master