|
Tangazo la Swalaah ya Iyd |
|
Tuesday, 07 September 2010 |
Assalaamu ‘Alaykum Warahmatullaahi WabarakaatuhTaqabbala Llaahu minnaa waminkumTunapenda kuwajuulisha Wanajumuiya pamoja na Waislamu kwa ujumla kwamba Swalaah ya Iyd ul Fitr inatarajiwa kusaliwa katika viwanja vya Kings Heath kuanzia saa 3.00 asubuhi siku ya Alkhamis au Ijumaa kutegemea na kuandama kwa mwezi InshaAllah endapo hali ya hewa itaruhusu. Kama kutakuwa na mvua basi tunawaomba Waislamu waelekee misikitini.Pia tunawajuulisha kwamba sherehe za iydul fitr zitafanyika siku ya Jumamosi tarehe 11-09-2010 Berzerk Leisure – Moulton Park kuanzia saa 12.30 jioni hadi saa 2.30 za usiku kwa akinamama na watoto wasiozidi umri wa miaka kumi. Tunakuomba ukipata ujumbe huu jitahidi kuufikisha kwa wengine InshaAllah.Wabillaahi Attawfiyq |
|
|
Jadwali Yako ya Ramadhaan |
|
Monday, 16 August 2010 |
JADWALI YAKO YA RAMADHAANJumuiya yako ya Al Iman imekuandalia Jadwali ambayo itakusaidia sana katika mwezi mtukufu InshaAllah kama utaifuata. |
|
Last Updated ( Monday, 16 August 2010 )
|
|
Read more...
|
|
|
Tunayopaswa Kujichunga Nayo Katika Mwezi wa Ramadhaan |
|
Monday, 24 August 2009 |
Abu ‘AmmaarAllah Subhaanahu Wata’ala alipofaridhisha funga ya Ramadhaan na kuifanya kuwa wajibu kwetu alikuwa akilenga katika kutujenga kuwa na Taqwaa - Uchamungu. Hili ndilo lengo alilolitaja katika Suuratul Baqarah 183. Allah Subhaanahu Wata’ala hajakusudia kutuletea madhara wala kutupa mzigo katika suala zima la Swaumu kwani ni ibaada inayoweza kufanywa na kila Muislamu bila ya kujali hali yake isipokuwa kwa wagonjwa na wengineo wenye udhuru ambao kisheria huwazuia kufunga. |
|
Last Updated ( Monday, 16 August 2010 )
|
|
Read more...
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
| Results 1 - 4 of 84 |