|
Dufu Linavyoshamiri Uingereza |
|
Thursday, 17 January 2008 |
Abu AmmaarMoja katika mambo yaliyosuniwa katika harusi ni kufurahi na kushereheka. Kufurahika kuko katika hali tofauti na kwa mujibu wa mila na tamaduni ya sehemu inapofanyika kwani kuna wanaoshereheka kwenye harusi kwa ngoma, taarabu, rusha roho hata disko. Pia wanaoshereheka kwa kutumia Maulidi ya Mtume Salla Allahu ‘Alayhi Wasallam na kadhalika. |
|
Read more...
|