20.96 . Akasema: "Niliona wasiyoyaona wao, nikashika gao (sehemu) katika unyao wa Mtume. Kisha nikalitupa. Na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu."