Displaying: Al-A'raf (7) Ayat (verse) No. : 148
 7.148 . Na baada yake walimfanya ndama kutokana na mapambo yao (kumuabudu), kiwiliwili tu kilichokuwa na sauti (lakini hakikuwa na roho). Hivyo, hawakuona kuwa (ndama huyo) hawasemezi wala hawaongoi njia? Wakamuabudu, na wakawa wenye kudhulumu. |